sio lazima nikuambie ati ukimwi inamadaa,
sii ata wee unajua wasee wamedie juu ya kitanda
juu ya udanda,
juu ya....
kutotumia rubber...
baggy clothes kuteremka ni faster
milima na mabonde, kushuka kupanda
panda lift na stairs za kenyatta,
hadi gorofa ya saba
uone vile wasee wanaukata,
ni kijana lakini place tuu anaona ni langata.
Stori ni mob zingine sijataja
Kwisha
No comments:
Post a Comment